SAANANE ISLAND-barmedas.tv

UTALII WA NDANI.
Kisiwa cha SaaNane kipo katika jiji la Mwanza kinawanyama wazuri na kufika huko upo usafiri wa Boat na kusafiri hadi kufika huko na mwendo wa dakika 5 tu.

Bei yake kwa Mtu mzima kiingilio ni Shs 5,000/= na Mtoto alie chini ya Miaka 16 na Shs 2,000/= na Watoto wadogo ni bure. BOAT  KUIKODI JUMLA NI SH 35,000/= lakini wasafiri wanaweza kuchanga na kuchukua usafiri huo ama kuaubiri hadi Watalii wajae ndipo muende na uwezo wa Boat kusafirisha kwa safari  moja ni watu 25.
KARIBU SAA NANE ISLAND UONE UUMBAJI WA MUNGU.

Comments