ZILIRINDIMA-barmedas.tv

SAXPHONE
Mpuliza Saxphone maarufu Roy Mkuna akiwa na Mwana Muziki mahiri Mwl Sokoro alipomutembelea katika ofisi za barmedas.tv na kufanya kipindi cha Muziki Live namna ya kupuliza chombo hicho kwa umahili kwa kupiga Scales mbali mbali pia, kupiga nyimbo ngumu zilizopigwa na wapulizaji Sax maarufu Ulimwengu na kuzipiga kwa umahiri mkubwa.

Comments