IBADA ZETU -barmedas.tv


Watumishi wa Mungu kila wakati hufurahi kwani Mungu kawapa mamlaka ya kuzichunga Kondoo zake, na Mchungaji wa Kondoo daima huwa ni Mtu wa furaha , mwenye upendo ,mwenye huruma na Mkusanya kundi lake pasipo kuliacha likatawanyika.
Ask wa Dioces ya Mara na Ukerewe Rev Kitula, Ask wa Dioces ya Tabora na pia ndiye Ask Mkuu wa AIC Tanzania Rev Silas Kezakubi , Ask wa Dioces ya Pwani Rev Charles Salala na Ask Msitaafu aliyekuwa Dioces ya Mwanza Rev Daniel Nungwana, wakiongea na kiujadiliana mambo mbali mbali ya Utukufu wa Mungu.

Comments