TALENT SHOW-barmedas.tv

DRUM SET-CHOMBO MAHSUSI.
Kati ya vyombo muhimu kuwa katika jumla ya vyombo vipigwapo kwa pamoja ni Drum.
Drum zinaufundi wake katika kuzipiga
Kwanza,  zinahitaji hesabu za hali ya juu kwani mpigaji ndiye anaongoza muziki wote na kulea.
-Lakini yeye ndiye anaebadiri muziki (music Moduration).
- yeye ndiye huanza muziki mpaka kumalizika pasipo kupumzika.
-yeye ndiye mpangaji wa mikakati wakati muziki u unapigwa.
-mpiga Drum ndiye anaonyesha uhalisia wa ntindo wenyewe kama ni Raggae ama Rhumba na lazima awe  anajua mitindo mbali mbali ya miziki katika kuwakilisha kwa vitendo.
-awe na stamina katika kukipiga chombo hiki na afanye mazoezi ya kutosha .

Comments