JEMBE NI JEMBE-barmedas.tv

Umati wa watu uliofurika usiku wa Jumamosi Jembe ni Jembe walipoandaa Onesho la usiku baada ya kuwaalika wanamuziki wenye majina tofuati kuja kushiriki katika Tamasha hilo na laaina yake.
Pia Tamasha hilo liliambatana na uzinduzi wa  Redio ya Jembe ni Jembe
Hivyo Mwanza mjini  , pia barmeda.tv  wadau wakubwa wa Jembe ni Jembe
Wakichukua matukio pia tukio hilo lilirushwa Live  ONLINE na watazamaji wote Ulimwenguni waliweza kutazama tukio hilo moja kwa moja  -LIVE.

Comments