TUNATAZAMA MTG CHANNEL barmedas.tv

Tunaendelea kuwafahamisha tunaendelea kupata wateja wengi wanao pendezwa kutangaza kwenye Channel zetu za barmedas.tv, Kuku Poa ni wateja waliopendezwa kutangaza nasi na tumeweka huduma zetu za Tv hapo  na Watu wanafurahia kuangalia ipindi vyetu moto moto- Karibu sana upate huduma zetu. " Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata" Kuku Poa iko Bara bara ya Kenyatta .




Comments