JIJI LA MWANZA-barmedas.tv

WANAWAKE WA JIJI LA MWANZA NINADHIFU.
Siku za Week end Wanawake katika Jiji la Mwanza hupenda kujipamba ili kuonekana wako Nadhifu sana .
hivyo Saloon nyingi huwa zimejaa wateja kunawateja wetu ambao hutangaza biashara zao katika Channel zet wateja wetu hao ni Kazungu kamoja, Midland huwa siku kama ya leo ya Jumamosi huwa na wateja ambao hufurika na kufanya Salon kuwa na sughuli nyingi za kuhudumia Wateja.
Mkurugenzi wa Kazungu kamoja alipoulizwa na kituo cha utangazaji cha barmedas.tv alisema" Siku za Jumamosi huwa ni busy sana kwetu kwani huwa tunawateja ambao siku ya Jumamosi ni lazima waje kufanya setting ya nywele zake" na alipotakiwa kueleza ni wateja wangapi huwa wanafika kupata huduma hizo alisema hilo "munipatie mda lakini kwa Ujumla Watu hupata kuja hapo ni wengi.
Jiji la Mwanza huwa ni Jiji la Maraha , leo nisiku ya  Jumamosi na Jumapili anategemea kuwa na wateja wengi ambao watamiminika kuja kutengeneza  nywele zao ili wawe kweli watu wa kileo , kiila mteja anakwenda kupata huduma hapo pia hupenda kusuka mitindo mbali mbali, ili mradi watakapo toka kwenda kuvinjari, wataonekana kweli ni Warembo wa Mwanza.Comments

Popular Posts