MATCHES- barmedas.tv

Timu ya Kirumba Boys waliovaa jezi za blue wakipigiana  matuta baada ya timu hizo kutoka suluhu dhidi ya timu ya Taqwa ambao wamevaa majezi  yenye michirizi ya  blue na Nyekundu, mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Furahisha kwenye uzinduzi wa  Ligi ya Ujerumany ulioonyeshwa moja kwa moja na Star times kwa kushirikiana na kituo cha barmedas.tv.

Mchezo huo Timu ya Kirumba iliwashinda Timu ya Taqwa kwa njia ya matuta baada ya kutoka suluhu katika mchezo ulio kuwa umejaa ufundi na ulivyokuwa na kasi kubwa.

Comments

Popular Posts