BUJORA-barmedas.tv

Tembelea kituo cha Makumbusho kilichoko Kisesa kituo kinajulikana  Bujora Sukuma Museum kina hifadhi ya vitu vyenye kumbu kumbu ya Msukuma ambavyo vilihifadhiwa  na hivyo huwa ni kumbukumbu kubwa Mtu atembeleapo eneo hili hupata kujifunza mengi kuhusiana na Historia ya Msukuma na vitu ambavyo alivitumia katika shughuli zake za kawaida katika maisha yake.





Comments