EZEKIEL WENJE-barmedas.tv

Mwl Sokoro akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana kupitia tiketi ya Chadema Ezekiel Wenje wakipiga picha ya pamoja mara  baada ya kipindi cha Karibu Mwanza kumalizika.
Mh Wenje alipata nafasi kuongea katika kipindi hicho cha KARIBU MWANZA ambacho hurushwa na kituo cha barmedas.tv na kuwa na mtangazaji wake Mwl Sokoro.

Comments