MIKUTANO YA MAGUFULI-barmedas.tv

Wakati akiendelea na Kampeni zake za kuwania urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),  akiwa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma, Dr John Magufuli, ameendelea kujinadi  kuwa wananchi wamchague ili awaletee maendeleo na kero za wananchi ambako anapita kwa njia ya Barabara anajitahidi kujionea mwenyewe ili akipatiwa nafasi ya kushika dora basi atazishughulikia moja baada ya nyingine.
Akiwapungia mikono wananchi wa Mtera  katika  mji wa Mvumi Wailaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, alihutubia mkutano mkubwa ukiokuja kumusikikiza na jinsi akitoa ahadi kwao endapo watampigia kura kwa wingi za kumwezesha kuunda Serikali basi,  atafanya makubwa kwa wapiga kura wake.
Dr John Pombe Magufuli, katika mazungumzo katika Kampeni zake nikuahidi kupambana na Wavivu, walarushwa na wasiotimiza wajibu wao hao,  hawana nafasi katika Serikali yake.
Wakishangilia  katika mkutano huo aliweza kuwahamasisha alipoanza kuimba wimbo wake kibwagizo cha"Aliselema" Alija "Selema selema" alija huku makutano yote wakipunga mikono kutoka Kushoto kuelekea kulia kuashilia wako nae pamoja.

Comments