UZINDUZI WA KAMPENI-barmedas.tv

Mgombea Udiwani kupotia chama vja mapinduzi  Mh: Henry Matata azindua Kampeni ya udiwani Kata ya Kitangiri kupitia chama chake cha Mapinduzi (CCM) kimezindua rasimi Kampeni zake Kitangiri Wilaya ya Ilemela aliyekuwa Msitahiki huyoMeya wa Manispaa ya Ilemela anaemaloza mda wake, ameahidi endapo atachaguliwa  tena , atafanya makubwa zaidi kwa wapiga kura wake wa Kata ya Kitangiri hasa aliyokuwa kuwa kaayanzisha mazuri na alikuwa hayajamaliza.

Mh Henry Matata anategemea kuitetea nafasi ya Udiwani na kupelekea pia kurudi Umeya.

Mategemeo ya wapiga kura wake  kumurudisha kwa kuwa kipindi chake ameboresha Mabarabara na Maji pia kuwatetea wakazi wake wafanyabiashara ndogo ndogo kwa kupeleka Mnada (Gulio) huko BARABARA YA BWIRU ni mkubwa sana kwa kuwa wapiga kura wake hao wamekuwa na Imani naye kuwa kuwa anaweza kuwaletea maendeleo.

Comments

Popular Posts