HITIMISHO LA KAMPENI-barmedas.tv

Mkutano mkubwa uliofanyika katika uwanja wa CCM KIRUMBA ulihudhuliwa na Watu wengi na kuvunja rekodi katika mikutano iliyofanyika hapa kwa miaka ya hivi karibuni.

Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete ,mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi  mgombea  Dr John Pombe Magufuri walipokamilisha hotuma ya Kufunga Kampeni
Aliendelea kujihakikishia ushindi baada ya Umati wa Watu  mkubwa kuhudhulia Mkutano huo.

Vyombo vingi vilihudhulia kuchukua habari na kuwahabarisha wana Nchi, isipokuwa kituo cha habari  barmedas.tv chenyewe kilianza mapema kurusha matangazo tangia saa 4:00 Asubuhi hadi saa 12:00 jioni.

Comments