MKUTANO UWANJA WA KIRUMBA-barmedas.tv

Mkutano uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba, na kuhudhuliwa na wananchi wa Jiji la Mwanza kuja kumusikiliza mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi Dr John Pombe Magufuri na pia Rais anae kwenda kumaliza mda wake Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete.

Picha hizo zinaonesha hali halisi ya jinsi umati ulivyohudhulia mkutano huu wa Hitimisho la Kampeni kuelekea uchaguzi Mkuu tarehe 25 October 2015.

Comments