IBADA ZETU-barmedas.tv

Mchungaji  Micah Ngussa ambaye ndiye pia Mkurugenzi wa Kituo cha TCRC akihutubu katika Kanisa la AICT Makongoro.

Akiwakumbusha waumini kuhusu majira haya ya Christmas watambue Kuzaliwa kwa Yesu kulikuwa ni ukombozi mkubwa wa Mwanadamu, Mwanadamu anamwamini Mungu aliyehai kuwa ndiye Mkombozi wa kweli.

Mungu aliuacha utukufu na akaja kutukomboa kwa njia ya kuzaliwa Duniani kama Mwanadamu kamili  Alizaliwa , aliteshwa ,akasurubiwa , akauawa na katundikwa msalabani siku ya 3 alifufuka" tunaushindi mkubwa tunajivuna"

Comments