MSHINDI WA CANADIAN-barmedas.tv

Mushindi wa Maji ya Canadian pure Drinking Water katika kipindi cha Mwimbieni Bwana Mr Steven Barwani akipokea maji kutoka kwa program Manager  Mr Sokoro kwa niaba ya barmedas.tv na wakala wa maji ya canadian pure katika ofisi za barmedas zilizoko Mtaa wa Bantu-Mwanza.

Canadian pure ni wadhamini wa vipindi mbali mbali vinavyo rushwa na barmedas.tv moja ya kipindi ni Mwimbieni Bwana ambacho hurushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 08:00 hadi  saa 10: jioni.

Comments