UTPC -barmedas.tv

Bodi mpya ya UTPC yazinduliwa  , Mtendaji mkuu wa UTPC Mr Abubakar Karsan akipiga picha na Bodi mya iliyozinduliwa na kuanza kufanya kazi rasmi.

Mwenyekiti/ Rais mpya wa Bodi hiyo Mr Deogratias Nsokolo na wajumbe wa Bodi hiyo mpya wakipiga picha baada ya Bodi hiyo kuzinduliwa katika Hotel ya Aden iliyoko maeneo ya Pasiansi.

Comments