HASHIKOME-barmedas.tv

Akina Mama kijijini hufanya kazi nyingi na wanapomaliza kazi huweza kujumuika kwa pamoja kwa kuimba nyimbo  zenye kuonyesha umoja ni nguvu kama picha zinavyoonesha hapo chini.

Kazi za uchongaji hufanywa na wanaume kwa ustadi mkubwa ili kuonyesha akina Baba "wanamge" wanakuwa na sifa na kazi zao za uchongaji kuonyedha ni mahiri kwa kazi kama Baba wenye miji.

Shughuli zote hufanywa kiujamaa na kwa mshikamano mkubwa.

Comments