BUJORA MESIUM-barmedas.tv

Makumbusho ya Bujora yanaendelea kufana hasa pale wanapoyaleta makumbusho hayo Bujora na kukaribisha Vikundi mbali mbali vya Ngoma na wageni kutoka Mataifa mbali mbali ambao huja kujifunza utanaduni wetu.

Swali la kujiuliza Sisi tunajua Thamani ya kujifunza ngoma hizi kwa uhakika kwa nini wageni kutoka mataifa mvali.mvaki huja kujifunza utamaduni wetu huku???

Hivi karibuni wageni kutoka Nje Barani Ulaya takribani 40 walihudhulia Tamasha la wiki  2 likiwa lineambatana na nafunzo ya utamaduni na mila wageni hao wakikuja kujifunza utamaduni haswa wa Msukuma.

Comments