LETICIA NYERERE-barmedas.tv

Rais John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Maria Nyerere pia na waombolezaji wote wakiwemo ndg wa Marehemu Leticia Nyerere Pia mne wa marehemu Madaraka Nyerere.

Pia Rais Magufuli akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo kuonyesha ameguswa na msiba huo ambao unaihusu familia ya hayati Mwl Nyerere.

Aliyekuwa Mbunge kupitia viti maalumu tiketi ya Chadema alifariki Nchini Marekani alikokuwa amekwenda matibabu na kufikwa na mauti, atazikwa kijijini Butiama.

Comments