ODC-barmedas.tv

ODC.
Kikao cha madiwani kimefanyika leo katika jengo la Halmashauri ya jiji la Mwanza, Madiwani walikuwa wskijadili mengi ikiwemo utekelezaji wa usafi amba kesho utafanyika kwa nguvu zote baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kutoa agizo kuwa kesho siku ya Jumamos kila mmoja atawajibika kuhusu usafi katika Jiji la Mwanza na Mkoa kwa Ujumla.

Comments