Barmedas Bcom-barmedas.tv

Barmedas Bcom hatuko nyuma katika mchezo
Tumekuwa wadau wakubwa sana katika kuhakikisha michezo inazingatiwa.

Mbali ya kuwa na timu yetu sisi wenyewe lakini pia tuna tumefadhili/ tunafadhili fadhili taasisi mbali mbali zinazo jihusisha na michezo kama IDFA na  NDFA kwa mda wa Miaka 5.

Comments