CHAKULA CHA PAMOJA-barmedas.tv

Wazee wa Kanisa na Wachungaji walipopata chakula cha pamoja na wageni kutokaeneo mbali mbali.

Chakula hicho kiliandaliwa na Kwaya ya AICT Makongoro Kwaya baada ya ugeni huo mkubwa kuitembelea Kwaya hiyo baada ya chakula ugeni huo ulipata mda wa kuongea na Baraza hilo la Wazee.

Comments