ANUSURIKA KIFO-barmedas.tv

Kijana ambaye jina lake halikupatikana mara moja ,  alinusurika kifo baada ya kujirusha kutoka kàtika Munara wa Simu  voda com uliopo Barabara ya Maķòngoro Munara ulioko jirani na Mahakama ya Mwanzo.

Kijana huyo alijitupa kutoka katikati ya Munara huo na kuanguka chini hatimae kukimbizwa kwenye matibabu katika Hospìtal ya Sekotouŕe.



Comments