RAIS MAGUFULI-barmedas.tv

Rais Magufuli ashusha kodi kwa wafanyakazi Rais ameshusha kodi ya mapato ya mshahara kwa wafanyakazi kutoka asilinia 11 mpaka asilimia 9. Rais katangaza punguzo hilo mjini Dodoma.

Comments