Baraza La Watoto on barmedas.tv HD

Baraza La Watoto ni Kipindi Live cha Watoto hususani Yatima ndani au nje ya jiji la Mwanza. Baraza La Watoto hisaidia watoto wa Mitaani na kujiendeleza Kimaisha na Kitaifa. 
Unaweza kutazama Kipindi hii Kupitia smartphones au Laptops www.barmedas.tv


Comments

Popular Posts