Hashikome Live ndani ya barmedas.tv HD

Hashikome ni Kipindi cha Michezo au Utamaduzi za Kiafrika wakiwemo Wasukuma, Wahaya, Wakurya, Wamasai ma wengine wengi tu. Kipindi cha Hashikome pia huonesha Live kutoka maeneo mbalimbali kama Bujora, CCM Kirumba, Nyamagana na sehemu nyingi tu. 

Kutazama Kipindi hii Live kupitia Smartphones yako au Laptop www.barmedas.tv


Comments

Popular Posts