Mwimbieni Bwana Live ndani ya barmedas.tv HD

Mwimbieni Bwana ni Kipindi cha Dini ya Kikristo. Kipindi hiki ni Live na Mtazamaji ana fursa ya kupiga Simu Live na kuomba Kwaya nakupigiwa Live

Unaweza kutazama Kipindi hiki live kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv


Comments

Popular Posts