Nakshi Nakshi za Pwani ni Kipindi cha Taarab. Kipindi hii ni Live na Mtazamaji anaweza kupiga Simu Live na kuomba Taarab atakayo na kupigiwa hewani.
Host wa kipindi hii ni Aisha
Unaweza kutazama Kipindi hii Live kupitia simu yako smartphones au laptops www.barmedas.tv
Comments
Post a Comment