Bollywood Mix ndani ya barmedas.tv HD
Bollywood Mix ni Kipindi kinachokuletea Wimbo za Kizamani za Bollywood Movie huko India. Wimbo hizo ni zilizo kuwa na Bora miaka hizo kina Amitabh Bachan, Dharmendra, Mitun Chakraboti, Kishor Kumar na wengine Kibao. 

Kipindi hii ni kila kila Jumatano na Ijumaa
Saa 12 Jioni 

Unaweza kutazama Kipindi hii Live kupitia Smartphones yako au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts