Dahua Polisi na Jamii Live ndani ya barmedas.tv HD


Dahua Polisi na Kamii ni Kipindi cha Jamii na Jeshi la Polisi hutoa taarifa au kuelimisha Jamii Live ndani ya barmedas.tv HD

Polisi Jamii ni Kila Ijumaa Saa 1 hadi 2 jioni. Edmund Ruter ndio Host wa Kipindi hiki na Mada Kuu leo ni HAKI YA ABIRIA KATIKA CHOMBO CHA USAFIRI. Wakiwepo na ma Afisa wa Barabarani kwa ajili ya kutoa Majibu sahihi na katika Sheria kwa Watazamaji  wakiwa Live. 
Kutama kipindi hii kokote ulipo Live kwa njia ya smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Kipindi hii Kimedhaminiwa na Dahua Technology wakikihusisha na maswala ya CCTV CAMERAS, ACCESS CONTROLS NA DVR yenye Viwango vya HDCVI

Comments

Popular Posts