Best Of Comedians Live ndani ya barmedas.tv Hd

Best Of Comedians ni kipindi Live ndani ya Studio za barmedas.tv HD. Comedians mbalimbali zaidi ya 20 kutoka sehemu tofauti tofauti na kuonesha uwezo wao wa kuchelewsha Watazamaji majumbani Live. Mwisho wa Show Mshindi hutafutwa na kupewa Zawadi. 

Host wa Kipindi hii ni Malala 
Kipindi hii ni Live na nikila Jumamosi na Jumapili kwanzia saa 12 Jioni

Unaweza kutazama Kipindi hii Live popote ulipo kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv HD

Comments

Popular Posts