Mcharuko Live on barmedas.tv HD


Mcharuko ni kipindi cha kujenga au kukomesha tabia mbaya za mitaani na mwisho wake kusuluhisha kama kunaugomvi baina ya jirani au mwenzio. 
Kipindi hii ni Live ndani ya barmedas.tv HD 

Host wa Kipindi hii ni Dada Arafa na Fauzia
Ni Kila Jumanne, Alkhamis  na Jumamosi
Saa 4 asubuhi na Jumamosi ni Saa 5 Asubuhi

unaweza kutaza Live kupitia smartphones au laptops www.barmedas.tv

Comments