Mwimbieni Bwana Live Ndani ya btv HD


Mwimbieni Bwana Ni Kipindi Live Kwaya mbalimbali ambapo Mtazamaji anafursa ya kupiga Simu Live na kuomba Kwaya atakayo. 

Host wa Kipindi hii ni Dada Emmy Lemma
Ni kila Jumatatu - Alhamish na Jumamosi 
Saa 8 Mchana

Unaweza kutazama Kipindi hii Popote Ulipo kwanjia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts