Lake Beats Live on barmedas.tv HD

 


Lake Zone Beats ni program inayo saidia Wasanii wano chipukia katika Jiji la Mwanza. Lake Zone Beats ni Live na Wasanii mbalimbali hufika katika Studio zetu Live na Kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa watazami kwa njian ya Simu ikiwa iko Live. 


Host wa Kipindi hii ni Jeniffer 

Kila Jumatatu - Alkhamis

Saa 1 Jioni


Unaweza kutazama Kipindi hii Live popote ulipo kwa njia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv


Comments

Popular Posts