Mwimbieni Bwana Live Ndani ya barmedas.tv HD


Mwimbieni Bwana Live Ndani ya barmedas.tv HD


Mwimbieni Bwana Ni Kipindi Live Kwaya mbalimbali ambapo Mtazamaji anafursa ya kupiga Simu Live na kuomba Kwaya atakayo. 


Host wa Kipindi hii ni Dada Emmy Lemma

Ni kila Jumatatu - Alhamish na Jumamosi 

Saa 8 Mchana


Unaweza kutazama Kipindi hii Popote Ulipo kwanjia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv


Comments