UCHAGUZI- barmedas.tv

UCHAGUZI WA MAKAMU NA ASKOFU MKUU WA DIOCES YA MWANZA.

 Baadhi ya Wajumbe wakiwa wanapata chakula baada ya kikao cha kwanza kilichofanyika asubuhi cha maandalizi ya uchaguzi ambao utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 22/08/2014.

picha hizo hapo chini zikionyesha wajumbe wakipata chakula nawengine wakibadirishana mawazo kabla yakupata chakula lakini pia,  picha ya mwisho ikionyesha sehemu wanapofanyia wajumbe mkutano ni katika Kanisa la AICT Makongoro ,  ndipo Maaskofu karibu wote wamepatikana hapa katika Kanisa hili, nikiwa ninamaana chaguzi zao zote hufanyika hapa Kanisani ikiwa ni Kanisa Mama ( Cathedral).

Wajumbe wa Synod kutoka Dioces ya Mwanza na Wachungaji wamejumuika kuweza kupiga kura kuwapata viongozi hao Makamu Askofu na Askofu Mkuu.

Kituo cha barmedas.tv tumetembelea eneo hilo nakukuta shughuli zikienda kama kawaida, Wajumbe wanaomba wampate mtumishi wa Mungu aliyeteuliwa na Mungu si Mwanadamu





Comments