UCHAGUZI-barmedas.tv

UPIGAJI WA KURA:
Wajumbe wakipiga kura kumuthibitisha Katibu Mkuu wa Dioces ya Mwanza wajumbe Idadi ni 180.
Matokeo kura zilizo sema NDIYO -99    HAPANA   93, Hivyo alithibithishwa na Wajumbe kuendelea na wadhifa huo kama Katibu Mkuu wa Dioces Mchungaji Joel Ng'weng'weta.

Picha zikionyeshwa wapiga kura wakiwakwenye zoezi hilo la kupiga kura, Picha ya juu mpiga picha kutoka kituo cha barmedas.tv akichukua matukio  ya Mkutano wote na hatimae kuwahabarisha watazamaji wake,  picha zingine zinaonyesha wajumbe  wakipata maelekezo kutoka kwa Ask Mkuu Baba  Silas  Kezakubi jinsi wajumbe  watakavyopiga kura  ili kuthibitisha jina la Katibu kuendelea ama la.




Comments