ABIUD DENIS MAUGO-bamedas.tv

Kijana aliyetembea Tanzania nzima kwa mguu na Kumalizia kwenye uzimaji wa Mwenge uliofanyika hapo Mkoa wa Tabora na kutunikiwa cheti.
Alifika ofisi za barmedas kutoa shukurani kwani kabla ya kuanza matembezi hayo alifika na kuongea nami ili apate pia ushauri, hakika nilimpatia ushauri katika matembezi yake na kama kijana awaheshimu watu wote husisani wakubwa kweli amefanya hivyo na akaona afike tupige nae picha ya pamoja na kuonyesha cheti chake alichozawadiwa siku ya kilele cha kuzima Mwenge zilizoambatana na kumbu kumbu miaka Kumi na tano tangia Mwl alipotutoka Duniani.
barmedas inatoa shukurani sana kwa Kijana ABIUD DENIS MAUGO ( Rais wa Wazalendo Tanzania) kwa kufanya matembezi hayo yenye kuhamasisha upendo na umoja.



Comments