ABIUD MAUGO-barmedas.tv

Abiud Maugo aitembelea tena barmedas.tv kwa ajili ya kuelezea mpango wake ulioko hivi karibuni.
"Napenda sasa kuanza matembezi ya Tanzania nzima, ili nieleze ujumbe wangu hussani kwa vujana, kwa sababu vijana tusipokuwa na Moyo wa uzalendo tutaipeleka Nchi pabaya kwani Vijana tunanguvu lakini tusipozitumia vyema huwa zinamadharav makubwa.
Alisema anahitaji sasa kufanya matembezi ili kuelezea ujumbe wake kwa Taifa na kuonyesha uzalendo alionao " Ninatembea kwa miguu yangu mwenyewe Waanzilishi wa Taifa hili walipata tabu kupata uhuru nami najitesa kuwaunga Mkono Mwl Julius Kambarage Nyerere na Mzee Abeid Karume, waliopigania Uhuru pia na wazee wote walioshiriki kuutafua Uhuru kwa Amasni pasipo kumwaga Damu,
hivyo na sisi tunatakiwa tuwe nanguvu za Hoja si hoja ya nguvu




Comments