KUWEKWA WAKFU-barmedas.tv

Waandishi wa habari hawakuwa nyuma siku ile ya kuwekwa Wakfu Ask John Bunango, waandishi kila mmoja alikuwa akitafuta kile atakachoona kitafaa kumhabarisha mteja wake.

Kituo cha barmedas nao walituma waandishi wake ili kuungana na waandishi wenzao ili kuwahabarisha watazamaji wake.





Comments