MTG CHANNEL- barmedas.tv

Mwauwasa Ina Screen za MTG hutoa habari na taarifa moto moto zinazohusu
biashara katika jiji la Mwanza .

Watu wamekuwa na furaha sana wapatapo taarifa hizo moto moto, ukifika hapo MWAUWASA ukiingia ndani wanapofanya malipo ya Bill ndipo utakuta hali halisi watu wanaosubiri kupata huduma macho yao yako ukutani yakifuatilia taarifa  zitolewazo na Channel ya MTG.

Kwa habari moto moto , tazama barmedas " Kwani sisi tunatangulia na wengine wanafuata"


Comments