MTG CHANNEL-barmedas.tv

Tazama MTG kwenye duka la VODACOM CUSTOMER CARE
Duka lililoko Nyamagana , ukiingia ndani utakuta watu wamejaa kila mmoja amekuja kupata huduma mbali na kupata huduma pia anapata nafasi ya kuangalia MTG Channel ambayo hutoa taarifa moto moto za kubiashara, Watu wanafurahia huduma hii kwani, huweza kujua mwenendo mzima wa taaria za Biashara Jijini Mwanza.

Comments