MTG CHANNEL-barmedas.tv

MTG huduma zimewekwa katika ofisi za Jiji unapoingia tu kwenye Jengo , utakutana na  Screen takribani 3 zinazotoa taarifa za Kibiashara ambazo Watu wote waingia[po katika jengo hilo hupenda kuziangalia Screen hizo kwa ajili ya kupata taarifa mbali mbali zikiwemo  na ratiba za Ndege , Mabasi, Mazao Sokoni, Nk.

Kwa taarifa moto moto za kibiashara, Tazama Channel ya MTG kwa kuwa " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata"


Comments