MTG CHANNEL-barmedas.tv

Haijalishi ni week end Channel ya MTG  hupeperusha habari moto moto kuwa habarisha watazamaji
taarifa zihusuzo Matukio ya Kibiashara katika Jiji la Mwanza  na vitongoji vyake.

Ukienda kwenye ofisi za Jiji utakuta  kuta zote zimewekwa Screen za Tv na kila Channel inaonyesha programs za barmedas zikiwemo program za  taarifa za kibiashara, hivyo utakuta watu wamdejazana wanapitia matukio yatolewayo na Channel ya MTG.

Kwa habari moto moto za Kibiashara usikose kutazama MTG, " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata.


Comments