NDINGO FLAVA-barmedas.tv

Mwendesha kipindi cha NDINGO FLAVA Miss Sheyila Katuga akiwa katika Mapoz.
kipindi cha Ndingo  Flava hurushwa na kituo cha barmedas.tv Live kila siku kuanzia siku ya Jumatatu hadi siku ya Ijumaa mida ya saa 10:00 jioni hadi saa 12:00, katika Channel yetu  ya barmedas.tv HD Afrika.

Kipindi hiki ni cha Salaam Watazamaji wanapata nafasi ya kutuma salaam na kuchagua Wimbo mutazamaji atakao pendela wakati huo upigwe  na pia anapata nafasi ya kutuma saam kwa atakao pendelea siku hiyo awatumie salaam.

Kipindi kimekuwa ni faraja kwa Watazamaji na kimetokea kupendwa sana kwani kwa siku hupatikana watuma salaam wengi sana pia Nyimbo  nyingi hupigwa katika kipindi hicho cha NDINGO FLAVA.

Comments

Popular Posts