TAZAMA MTG CHANNEL- barmedastv

Endelea kutazama Channel yeko uipendayo  ya MTG kwa matangazo ya Biashara na vipindi mbali mbali ambavyo tunakuletea kupitia channel hii.

Maeneo mengi Watu wanatazama Channel hii ya MTG, katika uwanja wa Ndege , kwenye Mahotel yote katika Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, Pizzaria, Guest zote, maduka ya madawa pia Super market bila kusahau Baadhi ya Hospital tumeweka Channel hii na kutazamwa na watu wengi kwa kuwa inatoa taarifa moto moto, endelea kutazama Channel yako ya MTG .






Comments