SUPER KAMANYOLA-barmedad.tv

Super Kamanyola Band , ni Band ya Muziki inayopiga katika Club cha Villa Park Resort .
Band hii hupiga Miziki mbali mbali ya kitaifa na ya Kimataifa inafanya kazi iliyosimama kwani Wanamuziki wawapo jukwaani huwa ninadhifu huvaa sare na huwa Jukwaa limepambwa kwa vyombo walivyo navyo pia kwa sasa wana wacheza choo hivyo kuufanya Muziki hufurahisha kwa kuusikiliza na kuutazama pia.

Comments