UANDIKISHAJI WA BVR-barmedas.tv

UANDIKISHAJI WA BVR KATA YA KIRUMBA.
Afisa mtendaji wa Kata ya Kirumba  Ndg
Abraham .T. Kapama akiwa na wajumbe na viongozi wa  Mtaa  na Wenyeviti wa Mitaa  ya Kirumba wakipanga mikakati namna ya uandikishaji wa BVR utakaofanyika kuanzia tarehe 3 July 2015 ,  siku 7 kuanzia 02:00 Asubuhi hadi saa 12:00 jioni.

Afisa Mtendaji wa Kata Kirumba akiwa amekaa na viongozi wengine na wajumbe wakichangia mada namna ya ubosherashi  katika uandikishaji .
Kutokuwa na sifa za kujiandikisha ni kama ifuatavyo:
1.Asiyekuwa na akili timamu.
2.Asiyefikisha miaka 18.
3.Asiye Raia.
4.Aliyefungwa (Mtu anayetumikia kifungo).
Kikao kilikuwa kizuri na wajumbe walichangia mada kwa ufasaha mkubwa sana.

Mtendaji aliwahakikidhia Wajumbe kuwa atahakikisha kila Mtu aliyenasifa za kupiga Kura  atajiandikisha, pasipo kukosa.

Zoezi limekwisha anza na kinaendelea vizuri Wstu wabajiandikisha ba kupata kadi hiyo itakayowawezesha kuoiga kura, zoezi hili Wstu wrngi wameitikia kwa wingi hata vijana waliotimiza umri wa Miaka 18 walionekana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari hilo nilipoongea na Mtenda wa Kata hiyo alionekana mwenye furaha baada ya kuona matarajio yake ya Watu kujiandikisha wakiwa huru katika Kata yake kutendeka hivyo zoezi hili litaendelea kwa siku 7.

Comments