VILLA PARK-barmedas.tv

Band ya Super Kamanyola ni kivutio cha wapenzi wa Muziki kwani Band hii hupiga Muziki wake kwa umahiri mkubwa sana.
Band hii hupiga Muziki wake LIVE na imesheheni wana Muziki wakongwe walioweza kupiga Muziki katika Band mbali mbali hapa Nchini na nje ya Nchi.
Super Kamanyola Band, hupiga Muziki wake katika Ukumbi wa wazi Villa Park Resort, Ukumbi ulio maeneo ya Kirumba-Mwanza.
Super Kamanyola Band ipigapo Muziki wake hapo Ukumbi wa Vila , barmedas.tv hurusha show hiyo LIVE..

Comments